- 9,424 viewsDuration: 1:34Ripoti ya upasuaji wa maiti sasa imebaini kuwa Mtoto Keziah Matuki alinyongwa na kuvunjwa shingo na kisha kunajisiwa. Daktari mkuu wa hospitali ya rufaa ya Kilifi Dkt. Gilbert Angore amesema kuwa mwili wa mtoto huyo ulikuwa na alama usoni na mikononi, ishara kuwa mtoto huyo alijaribu kujinasua kutoka kwa mshukiwa. sampuli zaidi zikipelekwa katika maabara ya serikali kwa uchunguzi wa kina.Familia ya mtoto huyo sasa inadai haki kufuatia mauaji hayo ya kinyama.