Skip to main content
Skip to main content

Ripoti yaonyesha visa vya mimba za utotoni vimeongezeka kajiado

  • | Citizen TV
    234 views
    Duration: 4:20
    Mashirika ya Kuwatetea watoto wasichana katika Kaunti ya Kajiado yameibua wasiwasi mkubwa baada ya Kuongozeka tena kwa visa vya Mimba za utotoni kwa mujibu wa ripoti ya hivi punde. Wakizungumza wakati wa Kuhamasisha Viongozi wa jamii kuhusu mradi wa Future for Binti ambao unalenga kumlinda mtoto msichana Katika eneo la Oloitkitok , wanasema Ripoti ya hivi Punde inaashiria kuwa watoto zaidi ya elfu nne wa umri kati ya 10-18 walipachikwa mimba kati ya Mwezi Julai na Decemba mwaka uliopita