- 6,566 viewsDuration: 4:06Rais William Ruto ameamuru vitengo vya usalama kuyachukulia hatua magenge yanayosababisha ghasia kwenye mikutano na shughuli nyingine za kisiasa. Rais Ruto akionya kuwa huenda taifa likasambaratika endapo hatua za dharura hazitachukuliwa. Amezungumza Ikulu ya Nairobi wakati wa hafla ya kupokea ripoti kuhusu safari ya Kenya kuafikia uchumi uliostawi duniani.