Skip to main content
Skip to main content

Ruto aahidi kukabiliana na wahuni, asema yuko tayari kwa siasa za 2027

  • | Citizen TV
    2,062 views
    Duration: 1:58
    Rais William Ruto ameendelea kuahidi kukabiliana na wahuni wanaosababisha ghasia kwenye mikutano ya kisiasa nchini. Aidha, rais aliyeendelea na ziara yake ya Kaunti ya Narok ameapa kutoa upinzani mkali dhidi ya wanasiasa wa upinzani kwenye kinyang'anyiro cha mwaka ujao. Na kama Seth Olale anavyoarifu, rais aliendelea kuzindua miradi ya maendeleo.