Skip to main content
Skip to main content

Ruto aendeleza ajenda ya Ruwaza 2060

  • | Citizen TV
    2,615 views
    Duration: 3:07
    Rais William Ruto ameendeleza ajenda yake ya mazungumzo ya kitaifa kuhusu Ruwaza ya mwaka 2060 huku akikutana na zaidi ya waumini elfu tano wa Kanisa la Friends katika Ikulu ya Nairobi. Rais ametumia mkutano huo kusisitiza manufaa ya mpango huo huku Mkuu wa Mawaziri Musalia Mudavadi akionya wale wanaotaka kutumia uchaguzi mkuu ujao kuendeleza siasa za ukabila. Brenda Wanga anaarifu.