9 Sep 2026 10:18 am | Citizen TV 849 views Duration: 3:48 Rais William Ruto amefungua rasmi Kongamano la Biashara la AmCham jijini Nairobi. Mkutano huo wa kikanda unawaleta pamoja wadau kujadili uwekezaji, biashara na sera, huku masuala muhimu ya uchumi yakitarajiwa kuangaziwa.