Skip to main content
Skip to main content

Ruto ageuka msimamo kuhusu wafanyabiashara wa kigeni

  • | Citizen TV
    86,739 views
    Duration: 3:12
    Hatua ya punde zaidi ya Rais William Ruto kuwaagiza wafanyabiashara wadogo wa kigeni kuondoka imeibua maswali kuhusu endapo rais amebadili mkondo wa kupigania umoja na uhuru wa bara la Afrika. Rais Ruto kwa muda sasa amejulikana kama kiongozi aliyepigania uhuru wa mipaka na hata mara nyingi kuondoa vikwazo vya raia wa kigeni kuingia nchini. Msimamo wake wa punde sasa ukiweka kwenye ratili msimamo wa jadi wa Kenya na hata mwenyewe kama Rais