Skip to main content
Skip to main content

Ruto ahakikishia Wakenya miradi ya serikali itakamilika

  • | Citizen TV
    1,451 views
    Duration: 2:34
    Rais William Ruto leo amekagua mradi wa ujenzi wa Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Bomas na kuwahakikishia Wakenya kuwa miradi yote ya serikali itakamilika kama ilivyopangwa. Rais amesema mradi huo unaogharimu shilingi bilioni thelathini unalenga kuiweka Kenya katika kiwango cha juu zaidi cha utalii na uwekezaji. Aidha, amesema serikali itaendelea kuwekeza katika miundombinu muhimu ili kuchochea maendeleo ya kiuchumi nchini.