1 Jun 2026 1:07 pm | Citizen TV 1,614 views Duration: 2:50 Rais William Ruto amesisitiza umuhimu wa usawa na haki kwa Wakenya wanaoishi kaskazini mwa nchi, akisema eneo hilo limekumbwa na changamoto za kutengwa kimaendeleo kwa miaka mingi.