Skip to main content
Skip to main content

Ruto akamilisha ziara Kazakhstan, atia saini mikataba ya ushirikiano

  • | Citizen TV
    1,824 views
    Duration: 1:25
    Rais William Ruto amekamilisha ziara yake ya siku mbili nchini Kazakhstan leo, akitia saini mikataba ya makubaliano na Rais Kassym-Jomart Tokayev wa taifa hilo.