Skip to main content
Skip to main content

Ruto amkashifu Natembeya kwa madai ya kuzuia miradi ya maendeleo Trans Nzoia

  • | Citizen TV
    16,678 views
    Duration: 2:34
    Rais William Ruto amemkashifu Gavana wa Trans Nzoia George Natembeya, akimtuhumu kudumaza maendeleo katika kaunti hiyo kwa kupinga miradi ya serikali. Rais amesema Natembeya anaendesha kampeni dhidi yake katika eneo la Magharibi mwa Kenya na kuwahimiza wakazi kuipinga serikali kupitia vuguvugu la ‘Tawe’. Kama anavyoripoti Melita Ole Tenges, Ruto anadai kuwa gavana huyo amekuwa akizuia serikali kutekeleza miradi ya maendeleo katika Kaunti ya Trans Nzoia.