- 7,517 viewsDuration: 2:44Rais William Ruto amemshambulia aliyekuwa naibu wake Rigathi Gachagua leo, akisema ni mkoloni mambo leo anayetumia jamii yake kisiasa kuwalazimisha viongozi kumuabudu. Akizungumza eneo la tharaka nithi leo, Rais Ruto pia alimmiminia sifa naibu wake Prof. Kithure Kindiki, akisema ni mchapakazi kuliko gachagua akisema ataendelea kufanya kazi naye.