- 19,429 viewsDuration: 3:19Rais William Ruto amemtaja Rais Mstaafu Uhuru Kenyatta Kuwa Mfadhili mkuu wa Upinzani akimtaja kuwa nyuma ya pazia ya siasa za Upinzani ili kuwafadhili mahasimu wake kushindana naye debeni katika uchaguzi wa mwaka wa 2027. Akizungumza kwenye mkutano wa hadhara huko eldoret, Rais Ruto aliwataja wapinzani kama ambao hawakuw ana maono yoyote na kuwahakikikishia kuwa atawabwaga mapema.