Skip to main content
Skip to main content

Ruto amteua Duncan Ojwang kuwa mwenyekiti wa IPOA

  • | Citizen TV
    7,460 views
    Duration: 1:14
    Rais William Ruto amefanya mabadiliko katika tume za kikatiba na taasisi mbalimbali za serikali, akimteua Dkt. Duncan Ojwang Oburu kuwa Mwenyekiti wa Mamlaka ya Kusimamia Utendakazi wa Polisi, IPOA.