Skip to main content
Skip to main content

Ruto aongoza katika utafiti mpya wa Tifa kuelekea uchaguzi mkuu

  • | Citizen TV
    5,519 views
    Duration: 3:17
    Rais William Ruto bado ndiye anayeongoza katika kinyang’anyiro cha urais kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka huu. Utafiti wa hivi punde wa shirika la Tifa unaonyesha kuwa Rais Ruto yuko mbele ya viongozi wa upinzani. Aidha, utafiti huo unaonyesha kuwa serikali ya broad-based imepoteza umaarufu na kufikia asilimia 30. Akiripoti hali hiyo, Brenda Wanga anasema kuwa mrengo wa Linda Mwananchi wa chama cha ODM umepata uungwaji mkono mkubwa wa asilimia 73.