- 3,625 viewsDuration: 3:02Rais William Ruto amependekeza kubuniwa kwa kamati ya kitaifa itakayochukua maoni ya Wakenya kuhusu ruwaza ya baada ya mwaka wa 2030. Akizungumza alipozindua mazungumzo ya kitaifa kuhusu kubadilisha mustakabali wa taifa la Kenya kufikia viwango vya mataifa yaliyostawi, Rais Ruto aliwataka Wakenya kuunga mkono mpango huo akisema shauku ya siasa za uchaguzi zimechelewesha safari ya kuifanya Kenya inawiri.