- 1,709 viewsDuration: 2:40Rais Ruto ameendelea kupigia debe muungano wa serikali yake na chama cha ODM, akisema muungano huo umeleta utangamano nchini baada ya maafa ya vijana wa Gen Z mwaka wa 2024. Akizungumza huko Kitui wakati wa ibada katika Kanisa la St. Mark's Cathedral, kwa mara ya kwanza Rais ameonekana akilenga kuwavutia viongozi wa upinzani kuungana naye, akisisitiza kuwa hawana haja ya kusitasita kushirikiana naye.