Skip to main content
Skip to main content

Ruto apokea ripoti ya KNCHR kuhusu fidia kwa waathiriwa wa maandamano

  • | Citizen TV
    1,847 views
    Duration: 2:55
    Rais William Ruto leo amepokea ripoti ya Kenya National Commission on Human Rights kuhusu mpango wa kutoa fidia kwa watu waliouawa au kujeruhiwa kwenye maandamano nchini. Rais amesema serikali imetenga shilingi bilioni 2 kwa ajili ya fidia hiyo, akiongeza kuwa hatua hiyo inaonyesha kukiri kwa serikali kwamba haki za Wakenya zilikiukwa.