- 4,587 viewsDuration: 2:26Ni afueni kwa wafanyibiashara ndogo baada ya serikali kupunguza kiwango cha ushuru uliokuwa umeongezwa kwa zaidi ya shilingi milioni moja. Rais William Ruto sasa akiamuru mamlaka ya kukusanya ushuru KRA kushukisha ushuru huo hadi shillingi millioni 2 kutoka shilingi milioni 3.2.