- 2,295 viewsDuration: 2:31Rais William Ruto leo amesaini mswada wa fedha wa mwaka 2026 kuwa sheria, akitoa hakikisho kuwa sheria zinazopitishwa hazitamdhuru Mkenya wa kawaida. Katika hotuba yake, Rais alitetea sheria hiyo iliyoidhinishwa na wabunge juma lililopita.