- 1,429 viewsDuration: 2:56Rais William Ruto ameongoza maadhimisho ya Siku ya Mazingira, akitangaza kuwa zaidi ya miti bilioni mbili imepandwa tangu kuanzishwa kwa kampeni ya kupanda miti bilioni 15 kufikia mwaka wa 2030. Akizungumza mjini Endebess, Kaunti ya Trans Nzoia, Rais Ruto amesema mpango huo unalenga kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi pamoja na kulinda vyanzo vya maji nchini.