Skip to main content
Skip to main content

Ruto asema upinzani hauna ajenda ya maendeleo

  • | Citizen TV
    2,488 views
    Duration: 2:43
    Rais William Ruto amewasuta viongozi wa upinzani akisema kuwa hawana mpango wa kutekeleza maendeleo nchini. Akikutana na mafundi wa Jua Kali 5,000 katika Ikulu ya Nairobi, Rais Ruto ametaja matamshi ya Seneta wa Nairobi Edwin Sifuna kuhusu nyumba za bei nafuu kuwa ya kupotosha.