Skip to main content
Skip to main content

Ruto asema upinzani ni tishio kwa maendeleo

  • | Citizen TV
    3,901 views
    Duration: 3:09
    William Ruto sasa anasema viongozi wa upinzani ni tishio kwa taifa kutokana na matamshi yao ya kutaka kusitisha miradi ya maendeleo inayotekelezwa na serikali yake. Akizungumza alipokutana na wahudumu wa afya ya jamii katika Ikulu ya Nairobi, Rais Ruto aliisifu Social Health Authority (SHA), akisema imewezesha mamilioni ya Wakenya ambao awali hawakuwa wakipata huduma za afya kupata matibabu.