- 631 viewsDuration: 3:05Rais William Ruto amewarai viongozi barani Afrika kuepuka hulka za kukopa fedha kutoka mataifa ya ughaibuni ili kujiendeleza. Rais Ruto aliyehudhuria kongamano la Africa Forward lililofanyika jijini leo pia alitaka Afrika ipewe nafasi ya kudumu katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, akisema mfumo huo umekuwa ukiwanyima Waafrika haki yao.