Skip to main content
Skip to main content

Ruto atangaza ajenda ya kuibadilisha Kenya kuwa kama Singapore, amsuta Kalonzo

  • | Citizen TV
    14,251 views
    Duration: 2:50
    Rais William Ruto hii leo ametangaza kwamba safari ya kuibadilisha kenya kuwa kama taifa la Singapore itangoa nanga hapo kesho huku akidai itakuwa ajenda kuu kujadiliwa na mawaziri hususan hazina ya miundombinu. Rais pia amemsuta kinara wa WIPER Kalonzo Musyoka kwa kuwaahidi wakenya maendeleo. Rais anadai kwamba licha ya viongozi wa upinzani kushikilia nyadhifa za juu awali, wameshindwa kuwafanyia wakenya lolote