Skip to main content
Skip to main content

Wasanii watano wa Ethiopia wafungwa kudhaniwa kuvaa “mavazi yasiyo na staha.”

  • | BBC Swahili
    21,067 views
    Duration: 1:14
    Polisi wa Ethiopia wamemkamata Adonay Berhane, mtunzi maarufu wa TikTok mwenye wafuasi milioni 4, siku chache baada ya wasanii wengine watano kufungwa kwa kudhaniwa kuvaa “mavazi yasiyo na staha.” Adonay alishinda tuzo ya “TikToker wa Mwaka” kwenye tuzo za Ethiopia Creative Awards 2025, hafla hiyo hiyo iliyosababisha kisa hiki cha mtandao. Kukamatwa chake kumezua mjadala mkali mtandaoni, mwandishi wa BBC Nasteha Mohamed na taarifa zaidi: - - #bbcswahili #ethiopia #burudani #tiktokviral Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw