- 1,468 viewsDuration: 2:54Rais William Ruto ameendelea kuwahakikishia wakulima gharama nafuu za upanzi, akitangaza kupunguzwa kwa bei ya mbegu na pembejeo za kilimo kwa hadi asilimia 50 kuanzia mwezi ujao. Rais amewataka wakulima kujiandaa mapema kwa msimu ujao wa upanzi. Akizungumza katika eneo la Likuyani, kaunti ya Kakamega, alikohudhuria ibada ya Jumapili, Ruto amesema serikali imetenga shilingi bilioni tano kugharamia mbegu, kama anavyoripoti Bonface Barasa.