Skip to main content
Skip to main content

Ruto atetea mazungumzo ya ruwaza ya 2060

  • | Citizen TV
    2,485 views
    Duration: 2:47
    Rais William Ruto ameutetea mpango wake wa mazungumzo ya kitaifa kuhusu ruwaza ya mwaka wa 2060, huku akiendelea kukosoa wapinzani wa maono yake. Rais, aliyezungumza katika kaunti ya Uasin Gishu, ameendeleza ajenda ya maono yake, ambako pia wandani wake wamefokea upinzani kwa siasa za kuwagawanya Wakenya. Brenda Wanga anaarifu zaidi.