Skip to main content
Skip to main content

Ruto atetea ubomoaji wa soko la Gikomba

  • | Citizen TV
    17,275 views
    Duration: 2:40
    Rais William Ruto ametetea ubomoaji wa sehemu ya soko la Gikomba, akisema ulikuwa muhimu ili kuruhusu kuanza kwa mradi wa uboreshaji wa soko hilo. Rais, akiwaonya viongozi dhidi ya kuligeuza suala hilo kuwa la kisiasa. Ubomoaji huo sasa umegawanya wafanyabiashara katika makundi mawili, huku baadhi wakidinda kuhamia eneo la muda lililotengwa na serikali.