- 2,296 viewsDuration: 3:01Rais William Ruto ametetea utendakazi wake akipuuzilia mbali wakosoaji wake kuwa serikali yake haijafanya kazi. Rais akiorodhesha miradi ya maendeleo chini ya uongozi wake, huku akipuuza madai kwamba zaidi ya shillingi billioni mia moja zimefujwa kupitia mradi wa bima ya SHA. Rais Ruto amezungumza alipokutana na wanachama wa Maendelo ya wanawake