Skip to main content
Skip to main content

Ruto awakaribisha Macron na marais wa Afrika dhifa ya Ikulu Nairobi

  • | Citizen TV
    5,072 views
    Duration: 2:56
    Jumatatu Jioni, Ikulu ya Rais jijini Nairobi ilishuhudia hadhi ya juu ya diplomasia pamoja na ushirikiano, Rais William Ruto alipoandaa dhifa maalum kwa heshima ya Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron na Marais kutoka mataifa kadhaa ya Afrika walioko nchini. Dhifa hiyo ikiashirikia kilele cha kongamano la Afrika Forward lililoandaiwa hapa Nairobi kuanzia jumatatu.