Skip to main content
Skip to main content

Ruto awakejeli wapinzani wakati wa ziara Kajiado

  • | Citizen TV
    5,438 views
    Duration: 2:45
    Rais William Ruto ameendelea kukejeli wapinzani wake anaosema wamekosa ajenda, huku akianza ziara ya siku tatu ya kaunti ya Kajiado. Rais aliyezindua miradi kadhaa ya maendeleo akipigia debe miradi ya serikali yake anayosema itamfikia kila mkenya