Skip to main content
Skip to main content

Ruto awataja wapinzani kama vibaraka wanaofadhiliwa na Uhuru

  • | Citizen TV
    20,053 views
    Duration: 3:30
    Rais William Ruto sasa amewataja wapinzani wake kama vibaraka wanaolipwa na kufadhiliwa na mdhamini wao, Rais mstaafu Uhuru Kenyatta. Rais amesema wapinzani hao wanafadhiliwa kwa lengo la kuipinga serikali na kuhujumu utendakazi wake. Aidha, Rais Ruto ameendelea kutetea makato ya SHA na mpango wa nyumba za bei nafuu kutoka kwa mishahara ya walioajiriwa, akisisitiza kuwa mapato hayo yamechangia kuendeleza uchumi wa taifa.