Skip to main content
Skip to main content

Ruto azindua mpango wa ajira kwa vijana

  • | Citizen TV
    1,481 views
    Duration: 3:18
    William Ruto amezindua mpango wa kutoa ajira kwa vijana nchini, akisema unalenga kupanua fursa za ajira kupitia ushirikiano kati ya serikali na sekta binafsi. Akizungumza katika hafla iliyoandaliwa Ikulu ya Nairobi, Rais Ruto alisema mpango huo unakusudia kuwasaidia vijana wengi kupata ajira na kuongeza ushiriki wa kampuni za kibinafsi katika uundaji wa nafasi za kazi.