Skip to main content
Skip to main content

Ruto kuongoza mazungumzo kuhusu Ruwaza ya Kenya 2060

  • | Citizen TV
    1,435 views
    Duration: 3:03
    Rais William Ruto ataongoza mazungumzo kuhusu Ruwaza ya Kenya 2060, itakayotoa mwelekeo wa miradi ya maendeleo baada ya kukamilika kwa Ruwaza ya sasa ya 2030. Serikali imesema jukwaa hilo litalenga kujadili mikakati ya kuimarisha sekta mbalimbali, zikiwemo uchumi, kilimo na uchukuzi, kwa lengo la kuiweka Kenya miongoni mwa mataifa yaliyoendelea duniani.