- 1,675 viewsDuration: 3:08Rais William Ruto na naibu wake Kithure Kindiki wamewahakikishia wakazi wa Laikipia kuwa usalama utadumishwa katika eneo hilo na pia kuendelezwa kwa miradi ya maendeleo. Katika ziara yao maeneo mbalimbali ya kaunti hiyo, viongozi hao walikashifu viongozi wa upinzani kwa madai ya kueneza siasa za ukabila na chuki badala ya kuuza sera za maendeleo.