- 10,658 viewsDuration: 3:19Rais William Ruto anadai kuwa kuna njama ya wanasiasa wa upinzani kuwatisha wapiga kura kikabila katika ngome zao kabla ya uchaguzi mkuu ujao. Akizungumza katika Kaunti ya Kajiado, Rais Ruto ameendelea kujipigia debe, akisema upinzani hauna ajenda ya maana ya kumuangusha katika uchaguzi huo. Seth Olale ana taarifa kamili.