13 Jul 2026 10:18 am | Citizen TV 1,394 views Duration: 1:00 Safari za ndege katika uwanja wa kitaifa wa Garissa zinatarajiwa kuanza tena baada ya shughuli za ukarabati wa uwanja huo kukamilika.