Skip to main content
Skip to main content

Safari za usiku zakatizwa katika barabara ya Lamu-Witu-Garsen

  • | Citizen TV
    3,205 views
    Duration: 2:03
    Usafiri katika barabara kuu ya Lamu–Witu–Garsen watatizika Kwa muda baada ya magari ya kampuni za Tawakal Buscar na malori ya mzigo kufungua barabara hiyo wakipinga kuzuiwa kufanya safari za usiku.