Skip to main content
Skip to main content

Safaricom yaamriwa kumlipa Muoki fidia ya bilioni 1.4 kwa ukiukaji wa hakimiliki

  • | Citizen TV
    6,708 views
    Duration: 2:25
    Kampuni ya mawasiliano ya Safaricom imeamrishwa kumlipa Peter Nthei Muoki shilingi bilioni 1.4 kama fidia ya ukiukaji wa hakimiliki.