Skip to main content
Skip to main content

Safaricom yajenga madarasa mapya ya Sh55M Nyankororo

  • | Citizen TV
    3,256 views
    Duration: 3:41
    Wakfu wa Safaricom umejenga madarasa mapya katika Shule ya Nyankororo, Ibengo, Nyaribari Chache, kwa gharama ya Sh55 milioni. Shule hiyo ilikuwa katika hali duni kabla ya mradi huo.