- 403 viewsDuration: 54sKampuni ya Safaricom imezindua kampeni mpya ya Pata More inayolenga kuwapa wateja thamani zaidi wanapotumia huduma zake. Kupitia kampeni hiyo, wateja watanufaika na ofa mbalimbali zikiwemo Pata More na Data na Pata More na Pochi. Kampuni hiyo inasema lengo ni kurahisisha upatikanaji wa huduma za kidijitali kwa wateja wake nchini. Kampeni hiyo imezinduliwa rasmi leo katika Soko la Kangundo Road jijini Nairobi.