- 433 viewsDuration: 1:43Kampuni ya Safaricom imezindua mradi wa KSh 51 milioni katika shule ya wanafunzi wenye mahitaji maalum mjini Eldoret. Mradi huo unahusisha ujenzi wa mabweni, madarasa na kisima cha maji kwa lengo la kuboresha mazingira ya kujifunzia na maisha ya wanafunzi.