12 Aug 2026 7:48 pm | Citizen TV 188 views Duration: 1:03 Kampuni ya Safaricom PLC imezindua rasmi tawi jipya eneo la Misori,Kaunti ya Siaya, kama njia moja ya kupeleka huduma zake karibu na wateja wao.