- 170 viewsDuration: 2:21Gavana wa Kaunti ya Nairobi Johnson Sakaja amekanusha madai kwamba serikali ya kaunti imehamisha baadhi ya majukumu yake kwa serikali ya taifa ikiwemo ukusanyaji takataka na ukarabati wa barabara. Katika hotuba yake kwa bunge la kaunti, Sakaja alisema serikali ya Kaunti inashirikiana na serikali ya taifa kuboresha utoaji huduma kwa wakazi wa jiji la Nairobi. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive