Skip to main content
Skip to main content

Sakaja: Taasisi mbalimbali zinadaiwa Nairobi zaidi ya Sh2.7B

  • | Citizen TV
    818 views
    Duration: 1:25
    Serikali ya kaunti ya nairobi inadai zaidi ya shilingi bilioni 2.7 kwa mashirika mbalimbali ambayo hayajalipa kodi yakiwemo makanisa, na idara za usalama. akihojiwa na kamati ya seneti kuhusu uwekezaji wa mali ya umma, gavana wa nairobi johnson sakaja amesema kuwa kaunti imerahisisha ulipaji wa ushuru kidijitali na hivyo kila shirika linalodaiwa linapaswa kulipa pesa hizo haraka.