- 749 viewsDuration: 2:19Idadi ya samaki katika Ziwa Baringo imeelezwa kupungua, hali inayowatia wasiwasi wavuvi na wadau wa sekta hiyo. Wavuvi wameshauriwa kutumia nyavu zilizoidhinishwa ili kusaidia kulinda mazalia ya samaki na kuhakikisha uvuvi endelevu