Skip to main content
Skip to main content

Sapit na Ndindi Nyoro wataka ushuru mpya kuondolewa katika Mswada wa Fedha 2026

  • | Citizen TV
    813 views
    Duration: 1:18
    Askofu mkuu wa kanisa la Anglikana Jackson Ole Sapit na Mbunge wa Kiharu Ndindi Nyoro ni miongoni mwa wadau waliotoa wito wa kuondolewa kwa ushuru mpya kupitia mswada wa fedha wa mwaka wa 2026. Kulingana nao, Wakenya wangali wanabeba mzigo mzito wa gharama ya juu ya maisha kutokana na kuongezeka kwa bei ya mafuta nchini. Shughuli hiyo ya kutoa maoni mbele ya kamati ya bunge la taifa kuhusu fedha na mpangilio itaendelea wiki ijayo.