- 433 viewsDuration: 1:27Kamishna wa Magereza Beacco amesema asilimia 90 ya maafisa wa magereza na wafungwa wamesajiliwa katika Mfuko wa Afya ya Jamii (SHA), hatua inayolenga kuboresha upatikanaji wa huduma za matibabu magerezani. Kwa upande mwingine, Katibu wa Idara ya Magereza ameongoza zoezi la upanzi wa miti mjini Garissa kama sehemu ya juhudi za kuhifadhi mazingira.