- 266 viewsDuration: 1:14Sekta ya ubunifu nchini inatarajiwa kunufaika na mabadiliko makubwa kufuatia kutiwa saini kwa makubaliano ya kuunganisha mfumo wa ukusanyaji na usambazaji wa mrabaha na jukwaa la eCitizen Kenya. Hatua hiyo inalenga kuboresha uwazi, kuongeza ufanisi katika ukusanyaji wa mapato ya hakimiliki na kuhakikisha wasanii pamoja na wabunifu wanapata stahiki zao kwa urahisi na kwa wakati unaofaa